Wednesday, June 15, 2016

BREAKING NEWS: MBUNGE WA UKONGA, MWITA WAITARA (CHADEMA) ASHINDA KESI YA UCHAGUZI

Mbunge wa UKONGA Mh. Mwita Waitara (CHADEMA) ameshinda kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa Ubunge katika uchaguzi mkuu wa October 2015.

Kesi hiyo ilikuwa imefunguliwa na mgombea wa ccm Jerry Silaa. Hukumu hiyo imetolewa leo, muda mfupi uliopita na Jaji Fatma Msengi wa Mahakama kuu Dar es salaam.  

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake