Thursday, June 23, 2016

MSIBA



Msiba mama mitindo Asya Idarous Khamsin afiwa na mjomba wake Shaaban Mohd Mshangama aliekuwa mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili Cologne Germany.

Inna llilahi wa inna llilah rajiun.

Msiba upo ujeruman.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake