Monday, June 6, 2016

MWANA FA AUKACHA UKAPERA

Msanii wa Bongo Fleva, Mwana FA akiwa na mke wake baada ya kufunga ndoa.
Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine.
Tunampongeza FA kwa hatua hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Safi sana. Hongera