kwahiyo watu waendelee kutukana tu mitandaoni halafu wachangiwe pesa?Angekuwa mtu ni mgonjwa ana shida ya milioni 2 asafiri kuja Muhimbili na kutibiwa, sidhani km angechangiwa hiyo hela.Somo zuri sana.
Magufuli umesema kazi tuu sasa basi tupige kazi hawa wajinga wafungwe hatuna mda
Hii inatokea Tanzania tu,mtuhumiwa wa matusi anazawadiwa!Amakweli tunasafari ndefu..
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake
kwahiyo watu waendelee kutukana tu mitandaoni halafu wachangiwe pesa?Angekuwa mtu ni mgonjwa ana shida ya milioni 2 asafiri kuja Muhimbili na kutibiwa, sidhani km angechangiwa hiyo hela.
ReplyDeleteSomo zuri sana.
Magufuli umesema kazi tuu sasa basi tupige kazi hawa wajinga wafungwe hatuna mda
ReplyDeleteHii inatokea Tanzania tu,mtuhumiwa wa matusi anazawadiwa!Amakweli tunasafari ndefu..
ReplyDelete