Saturday, June 18, 2016

Ufafanuzi wa kwa nini aliyemtukana Rais Magufuli kachangiwa pesa za faini

3 comments:

  1. kwahiyo watu waendelee kutukana tu mitandaoni halafu wachangiwe pesa?Angekuwa mtu ni mgonjwa ana shida ya milioni 2 asafiri kuja Muhimbili na kutibiwa, sidhani km angechangiwa hiyo hela.

    Somo zuri sana.

    ReplyDelete
  2. Magufuli umesema kazi tuu sasa basi tupige kazi hawa wajinga wafungwe hatuna mda

    ReplyDelete
  3. Hii inatokea Tanzania tu,mtuhumiwa wa matusi anazawadiwa!Amakweli tunasafari ndefu..

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake