Thursday, June 16, 2016

UONGOZI WA JUMUIYA KUFUTURISHA JUNE 18

Uongozi wa Jumuiya Kufuturisha June 18,2016.

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania NYTC- NY, NJ, CT, PA na vitongoji vyake , inayofuraha kuwaalika wanajumuiya wote ktk Iftar inayoandaliwa June18,2016 na Uongozi wa Jumuiya kupitia kamati ya maandalizi.
Mahala : 30 Overhill rd Mt.Vernon NY. ...

Katika kufuturisha tunaomba wanajumuiya tujumuike pamoja na tufungue milango ya maelewano ktk mwezi huu wa toba.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na wajumbe wa kamati ya maandalizi wenye jukumu maalum la iftar ;

Amir Kius: 551-358-2719

Fuad Seif :347-842-8697

Seif Akida: 917-557-3195

Mwanamkasi Duna 917-557-3197

Bahia Maundi : 347-663-0781

Pamoja na wajumbe wengine wa kamati ya maandalizi.


Sylvester Mwingira
Mwenyekiti NYTC

1 comment:

  1. Ndugu karibuni FUTARI YA JUMUIYA, Jumamosi Juni 18, 2016 Wote tunakaribishwa
    30 Overhill Road, Mt. Vernon, NY 10552
    Take 2 train to 241 st Kutakuwa Na shuttle ukifika kabla ya 7:30pm Wasiliana Na Waandaaji

    Menu kutoka kwa Dada zetu Na kamati ya wandaaji;

    Pilau
    Ndizi na nyama
    Ndizi mbivu
    Maandazi
    Chapati
    Chilla
    Sambusa
    Katles
    Kalmati
    Kuku wa kubake
    Maharage
    Bajia
    Fruit Salad
    Chai
    Samaki
    Tende
    Juisi Na Maji

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake