Advertisements

Tuesday, August 23, 2016

MISS TANZANIA USA PAGEANT 2016 SIKU HADI SIKU INAPOTEZA MVUTO KUTOKANA NA FIGISUFIGISU ZA UPATAJI MSHINDI.


Miss Tanzania USA Pageant ilifanyika siku ya Tar 20 na kumpata mshindi ambae ataenda Tanzania kushindana na washindi wengine kutoka mikoa ya Tanzania hili kumpata Miss Tanzania. Hapa Mshindi Brienna Mateso Filed akipata ukodak na warembo wenzake.


Katikati  ni mshindi wa Miss Tanzania USA Pageant  Brienna Mateso Field na Kushoto ni mshindi wa pili Queen wakipata ukodak na Found wa Curious on Tanzania Justa kutoka New York.


Mshindi wa pili wa Miss Tanzania USA akipata ukodak na Mshindi wa Mwaka jana.

Miss Tanzania USA Pageant 1St Runner u Queen kutoka Massachusetts.

No comments: