Advertisements

Sunday, September 25, 2016

BABY SHOWER YA DIGNA SANDU ATLANTA, GEORGIA

Zawadi kwa mtoto mtarajiwa katika baby shower ya Digna Sandu iliyofanyika siku ya Jumamosi Septemba 24, 2016 jijini Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.
Digna Sandu akiwa meza kuu kwenye baby shower yake iliyofanyika siku ya Jumamosi Septemba 24, 2016 jijini Atlanta, Georgia nchini Marekani.
Wazazi wa Digna wakiwa katika picha ya pamoja walipokua miongoni mwa wadau waliohudhuria baby shower hiyo.
Kushoto ni Rachel Joel (mwakilishi wa Vijimambo Atlanta, Georgia) ambaye alikua mshereheshaji wa Baby shower hiyo akiwa katika picha ya pamoja na Dj Dullah kutoka Alabama.
Mmoja ya wageni walioalikwa kwenye Baby shower ya Digna Sandu akimwaga mihela kwa ajili ya kumtunza mama kijacho.
Mr. Sandu akitoa neno la shukrani.
 Digna na mumewe wakifungua muziki
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: