Advertisements

Monday, September 26, 2016

HAFLA YA SHIELD OUR WATOTO (SOW) YAFANA COLUMBUS OHIO

Mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa Shield our Watoto(SOW) Bhoke Kirigiti kushoto na mumewe Peter Kirigiti katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya taasisi hiyo ya kulinda watoto dhidi ya ukatili na ghasia za kingono iliyofanyika Jumamosi Septemba 24 jijini Columbus Ohio. Bhoke Kirigiti akizungumza. Jummy Olawale mzungumzaji mkuu akitoa hotuba. Jackie Mapigano akita sala ya Ufunguzi. Karen Matsiko mmoja wa wajumbe wa bodi ya SOW akipata tuzo ya ushujaa. Pamela kirigiti akipokea ouzo ya ushujaa kwa niaba ya Patricia kirigiti. Peter Kirigiti akipokea ouzo kwa niaba ya Marshiella Hall. Pastor Donnis na Nunu Nkone wakiwa na Pastor Wambura. Kwa picha zaidi bofya ungana na Sundayshomari.com

No comments: