Advertisements

Tuesday, September 20, 2016

NAMAINGO BUSINESS AGENCY YATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WAANDISHI HABARI

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahimu Maingo akitoa elimu ya ujasiliamali katika semina ya biashara kilimo kwa wanahabari kutoka vyombo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Payas Moremi akitoa ufafanuzi kwa wanasemina juu ya masuala anuai ya kisheria.
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia semina hiyo..
Elimu ya ujasiliamali ikiendelea katika semina hiyo.
Elimu ya ujasiliamali ikiendelea katika semina hiyo.
Mshauri wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Thomas Joseph akizungumza katika semina ya biashara kilimo kwa wanahabari kutoka vyombo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

No comments: