Advertisements

Tuesday, September 6, 2016

Wema: Nitalipa Pesa Matibabu ya Baba diamond

Kwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake diamond itakapo tengemaa

7 comments:

Anonymous said...

Oh pleeeeease give me a break wema,kwa kuwa una uchungu sana na huyo baba,yatakushinda,unapenda sana kujionesha ,have a sit please

Anonymous said...

Mwacheni jamani ni kwa sababu bado anampenda diamond...yangekuwa mapenzi yameisha hata asinge hangaika.

Anonymous said...

Wema mwenyewe pesa ataitoa wapi?

Anonymous said...

Anasaidia kisha anaanza kulaumu kwenye mitandao kwa uchungu gan ulio nao ukahangaike ucku kucha kutafuta uje utibu baba daimond kwa pesa gan wasichana mnajitumia vibay umechina huna mpya kapumzike kule si umsaidie kimyakimya.

Anonymous said...

wewe Wema hauna ndugu mwenye shida umeng'ang'ania Diamond tuu...wasaidie ndugu zako bwana, we vipi?

Vicky Rose said...

Baba wa mwenzio ni Baba kwako. Pia kutoa ni moyo siyo utajiri.
Wema fanya hilo na Mungu atakusaidia. Msaidie Baba apate afya njema. Malipo ni kwa Mungu.

Anonymous said...

Akajambe kule,mwenzie diamond keshamove on,atabakia kujipendekeza tu na familia ya diamond