Wapendwa katika Bwana.
Tunakualika kwenye ibada ya Kiswahili inayofanyika kila Jumapili katika kanisa la
The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo Washington DC.
Huduma hii huanza saa nane kamili mchana, na anwani ya kanisa hilo ni
405 Riggs Rd NE
Washington, DC, 20011
NYOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake