Advertisements

Sunday, October 23, 2016

UPDATE YA ERIC MAGAMBO FUNDRAISING

Eric Magambo na mmwanae

Gofundme jumla makusanyo yaliyokusanywa $3,125/= ukitoa makato ya gofundme $261.79 tumebaki na $2,863.21 wanajumuiya Houston makusanyo yao ni $2,066/= fedha ya BOA ni $823/= jumla ya makusanyo yote ni $5,752.21/= lengo la makusanyo ni $5,000/= tumezidisha makusanyo kwa $752.21/=.

Kama tulivyosema hapo awali
Familia ya Magambo na Eric mwenyewe wakiwemo ndugu na marafiki wa Eric walioendesha zoezi zima la ukusanyaji michango wa Eric Kwa ajili ya mwanasheria wa uhamiaji wanashukuru mno kwa wale wote walioguswa na kujitoa mhanga na kuchangia kadri walivyoweza na wengine kusaidia kusambaza ujumbe kwa ndugu na marafiki zao ikiwemo mitandao mbali mbali.

Eric Magambo amtokwa na machozi hakuamini hiki kikubwa mlichofanya kwa ajili yake, ameshukuru mno na tutakuwa tunawaarifu kila tutakapofikia

TUNAWASHUKURU MNO

Kwa maelezo zaidi na swali kuhusiana na Eric Magambo wasiliana na

Shaneisa Magambo 412 520 2029
Jabir Mudrika 202 391 9153
Prosper Magambo +255 767 802255
Idd Sandaly 301 613 5165
Dj Luke Joe 301 661 6696
Dany Kiondo 832 507 1297


Asanteni sana kwa msaada wako

3 comments:

Anonymous said...

ASANTE mdau. Mbona hakuna maelezo ya tatizo? Ujumbe hata nusu haueleweki chanzo! Sio wote tunafahamu tunaomba maelezo kamilifu asante tutaweza.

Go fund me said...

Habari zenu,

Tafadhali nendeni
https://www.gofundme.com/eric-magambo-fundraising-2v82vf8?ssid=777259185&pos=1

Tumsaidie ndugu yetu Eric.

Asanteni
Hafsa Hamir

Anonymous said...

Mbona hamuelezi shida ya huyu mtu na.mwanae ni nini?kwanza kabisa nilifikiria ni mwaswala ya msiba au ugonjwa baada ya kusoma habari kumbe sio,lakini yote heri tu hapa tuko kwa nchi ya watu na tatizo linaweza mpata yoyote tu ,