Wednesday, December 7, 2016

BALOZI WA CUBA HAPA NCHINI AMUAGA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA, LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kumuaga kufuatia kumalizika kwa mda wake wa kazi hapa nchini.
 Kinana akimkaribsha Lopez kuketi
  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kuaga kufuatia kumalizika kwa mda wake wa kazi hapa nchini.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kuaga kufuatia kumalizika kwa mda wake wa kazi hapa nchini Kulia ni Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, kutoka Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula.
Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, kutoka Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula akimpa mapokezi ya awali, Balozi Lopez, kabla ya Balozi huyo kuonana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake