Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa siku mbili wa Tanzania Bloggers Network (TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar,pichani kulia ni Kaimu Meneja Mwandamizi kutoka benki ya NMB,Stephen Adili.
Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama) akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dkt.Hassan Abbas wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN) uliofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar leo.
Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao unaoendelea hivi sasa.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake