Lisa na baba mwenye nyumba wake wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mnuso wa nguvu wa Eddah's Elegant Balck and White uliofanyika siku ya Jumamosi Dec 3, 2016 Laurel, Maryland na watu kupendeza kweli kweli huku wakiwa wameitikia wito wa kuvaa rangi nyeusi na nyeupe ambazo ndizo zilizokua rangi ya mnuso huo na Eddah kutumia nafasi hiyo kutangaza chakula anachopika ambacho hakikawii kukusababishia kujing'ata ulimi kwa utamu wake. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.
Neesha na baba mwenye nyumba wake nao wakiwa katika picha ya pamoja.
Wadau mbalimbali waliohudhuria Eddah's Elegant Black and White party iliyofanyika siku ya Jumamosi Dec 3, 2016 Laurel, Maryland nchini Marekani.
WanaDMV wakiwa katika picha ya pamoja kwenye mnuso huo.
Asha na baba mwenye nyumba wake wakiwa katika picha ya pamoja.
Missy T katika picha ya pamoja na baba mwenye nyumba wake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mwenyekiti wa UTNC Bi. Glory akiwakilisha North Carolina
Bi. Penina akiwa na familia yake
Kessy Matairi akiwa na mama mwenye nyumba wake.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake