Saturday, December 3, 2016

KUTOKA VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 102: John Legend, Kanye West, Kim Kardashian, Brad Pitt na Amber Heard

Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hutayarishwa na kutangazwa na Mkamiti Kibayasi.
Kipindi hiki hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU

1 comment:

  1. I love you Mkamitiiiiiii keep doing good job! your sister from another mother MN

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake