Wednesday, December 7, 2016

Msimamo wa Waziri Lukuvi kwa watanzania waishio nje kumiliki ardhi nchini

4 comments:

  1. Nikiwa kama mwanadiaspora lazima ni kiri sheria ni msumeno ukisukumwa mbele unakata na ukirudishwa nyuma unakata na kila siku nikitamani nchi yangu Tanzania iwe inasimamia sheria bila ya upendeleo,bila ya woga,bila rushwa. Kwa jinsi muheshimiwa Lukuvi alivyokuwa serious na straightforward katika kuhakikisha sheria ya nchi inafuatwa kwa kweli amenijaza furaha wakati wa matanga ya wangu wa damu kwani binafsi tatizo la umilikaji wa ralimali ardhi linanigusa sana. Tunaomba suala litafutuwe ufumbuzi kwa manufaa ya watanzania halisi licha ya kuwa na uraia wa kupewa wa nchi fulani.

    ReplyDelete
  2. Mr Minister, I think we can help you on this, there are thousands of wanaojiita wabongo with 2 passports.

    Kwanza it is illegal to have uraia 2 - these guys should be locked up.

    ReplyDelete
  3. Lukuvi anafanyakazi yake kwa mujibu wa sheria za ardhi zilizopo.Na hata leo hii akiondoka Lukuvi atakuja mwingine na kauli itabaki palepale. In short tatizo la concerns za diaspora kuhusiana na ardhi sio mtu bali ni sheria. Na suluhisho lake in short term ni ku work/ lobby na serikali itoe vibali maalumu kwa watanzania asilia akioko ughaibuni wanaomiliki na wanaotaka kumiliki ardhi kwa ujenzi wa makazi au long term sokution ni kujenga hoja ku amend sheria period.

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Lukuvi, sheria ya Tanzania ya ardhi imepitwa na wakati. Usiwaumize ndugu zako watanzania wenzako kwa kutumia sheria iliyopitwa na wakati. Hii sheria itabadilika tu. Kuna sheria nyingi sana nchini Tanzania ambazo ni za kale na zinahitaji marekebisho. Bunge la Tanzania limelala usingizi. Raia wa kigeni wote mnaowapa uraia hapo Tanzania huko kwao walipotoka wana haki zote za kiraia. Sasa leo hii serikali ya Tanzania inawanyanyasa ndugu zao waafrika wazaliwa wazawa wa Tanzania. It is a shame.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake