Columbus ndio mji mkuu kwenye jimbo la Ohio na mji wa 15 kwa ukubwa katika miji nchini Marekani na kutokana na takwimu ya mwaka 2015 jiji hili lilikua na wakazi wapatao 850,106. jina la Columbus lilipatikana mwaka 1812 kutoka kwa Chritopher Columbus. Columbus ni kati ya miji bora kwa shughuli za biashara, mwaka 2012 ulichagualia na Businessweek kama mji bora ya biashara na mwaka 2013 gazeti la Forbes liliipa alama A mji wa Columbus kama mji bora wa biashara.
Vikwangua anga jiji la Columbus.
mji wa Columbus unavyoonekana.
Vikwangua anga mji wa Columbus.
Mji wa Columbus katika picha
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake