Balozi wa Hispania nchini Tanzania Bw. Felix Costales (katikati), akijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia), akisisitiza jambo kwa Balozi wa Hispania nchini Tanzania Bw. Felix Costales, wakati alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier.
Balozi mdogo wa nchi
hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier (kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa walipokutana ofisini
kwake jijini Dar es salaam.
Imetolewa na Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake