Sunday, January 15, 2017

KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU ALHAJI PROFESSOR IDRIS ALI MTULIA KUFANYIKA LEO JUMAPILI

AAleykum. kwa niaba ya familia ya Marehemu baba yetu mpenzi, Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Tunapenda kuwatangazia kisomo cha Hitma ya baba yetu kitakachofanyika siku ya JUMAPILI January 15, 2017.

Alhaji Professor Idris Ali Mtulia aliyefariki dunia ghafla siku ya Jumatatu Desemba 5, 2016 Nyumbani Kwake Upanga, Dar-es-salaam Na kuzikwa Jumanne Desemba 06, katika makaburi ya Kisutu, Dar-es-salaam.
Nyote mnakaribishwa.

Anuani. Indian Spring Terrace Local park

9717 Lawndale Drive
Silver Spring, Md 20901

Muda: 12 jioni - 4 usiku

Kama ilivyo mila Na desturi yetu Wana DMV tunaomba ushirikiano wenu. Kina mama msaada wa vyakula Na kina baba vinywaji, tafadhali wasiliana Na hawa wafuatao Katika maandalizi ya shughuli hii..

Iddi Sandaly (301) 613-5165

Mohamed Matope 301-655-0409
Saidi Mchumo (850) 339 6783
Asha Nyang'anyi (301) 793-2833
Jasmine Rubama (410) 371-9966
Mwasi Marijani (301) 256-8902
Joha Nyang'anyi (240) 813-5563
Dr. Rukia Marijani (850) 980-6633

Tunatanguliza Shukrani..

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake