Tumsifu Yesu Kristu.
Kheri ya Mwaka Mpya.
Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi, wanapenda kuwatangazia ya kuwa,
Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 15 Mwezi Januari, 2017, Saa 8:00 mchana (Sunday 15 January, 2017 at 2 pm).
Tunawakaribisha wakristu wote watanzania na Afrika ya Mashariki wajiunge nasi katika Misa hii.
Pamoja na watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada ya Kiswahili.
Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.
Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.
Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni tumtukuze Muumba Wetu kwa lugha yetu ya Kiswahili.
Mbarikiwe.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake