Hapo mzee kutokana na mtizamo wako hata huyo fisadi ukionyeshwa utasema si fisadi ni chuki tu. Kabla hujainyoshea serikali ya Magufuli kuwa inaendeshwa kwa chuki ingekuwa busara kupunguza chuki zilizokujaa kiasi kwamba zinakupelekea kuwa na upofu wa akili kushindwa kufahamu makubwa ya maendeleo yanayoletwa na serikali ya Magufuli. Hata hizo bara bara na ujenzi wa miundo mbinu mengine kama viwanja vya ndege na vio vikuu msimamizi wake mkuu wakati miradi hiyo inafanyika alikuwa huyo huyo unaem'beza. Unaposikia mtu ambae alijinasibu kuwaomba watanzania yakuwa anataka kuwa kiongozi wa juu wa kitaifa anatasmini maendeleo ya nchi kwa kipimo cha mwaka mmoja ujuwe watanzania kwa upande wa upizani tuna matatizo ya uongozi.
1 comment:

Post a Comment