Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Urusi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Yuri Fedorovich Popov alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Urusi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Yuri Fedorovich Popov alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment