Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Juliana Shonza akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe, Mwigulu Nchemba akifafanua jambo katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA) katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Mbunge wa Kalambo(CCM) Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Mbunge wa Newala Mjini (CCM) Mhe.Kapt.Mst.George Mkuchika akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe.Maj.Gen.Gaudence Milanzi na Naibu Katibu Mkuu Dkt.Aloyce Nzuki wakiwa na Menejimenti ya Wizara iyo leo Bungeni ambapo hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo itasomwa katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof.Jumanne Maghembe akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Mbunge wa Kwela (CCM) Mhe. Ignas Malocha akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
No comments:
Post a Comment