TAMCO DAY, DMV.
*MAY 20, 2017*
WEEKEND HII, IN SHAA ALLAH.
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community of Washington DC Metro (TAMCO)
Una Furaha Kuwakaribisha WaTanzania Wote kwenye Shughuli Yetu ya Mara Moja kwa Mwaka
TAMCO DAY
Saturday, MAY 20, 2017
(in shaa Allah)
Kuanzia Saa 12 Jioni – Saa 4 Usiku
(6PM - 10PM)
Pinecrest Local Park
301 St Lawrence Dr,
Silver Spring, MD 20901
Pia kutakuwa na
■ Zoezi la Kukusanya Michango ya Mwaka
■Pledges za Udhamini wa Mwezi
wa Ramadhan,
■ BAZAR, kutakuwa na Vendors wakiuza Bidhaa Mbali mbali,
■KENYA COMMERCIAL BANK (KCB) Watakuwepo kutupa taarifa za ISLAMIC BANKING SERVICES.
Kwa Taarifa Zaidi, wasiliana na
Ali Muhammed 301 500 9762
Shamis 202 509 1355
Asha Hariz 703 624 2409
Ali Mikidadi 201 628 2133
Asha Nyang'anyi 301 793 2833
Tafadhali ukipata taarifa muarifu Mwenzio.

No comments:
Post a Comment