Hapa Neema akiwa kwenye meza kuu na mpambe wake Mina, siku ya baby shower yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Ramada hotel huko Kansas City siku ya tarehe 20/2017
Wifi wa Neema Tumain Gerwin akitoa shukrani mbele ya wageni waalikwa ukumbini hapo, Tumain ndiyo alifanikisha shughuri ya baby shower hiyo.
Zawadi zikiwa zimepangwa ukumbini hapo
Tumain akipata ukodak na wifi yake
Wageni kutoka Minnesota wakiwa kwenye meza, Kwa picha zaidi jitiririshe hapa chini.
Dj Dennis kutoka Minnesota
Dj Rich kutoka Massachusetts
No comments:
Post a Comment