Watu 19 wameuwawa na wengine zaidi
ya 50 wamejeruhiwa katika tukio linashukiwa kuwa ni shambulizi la
kigaidi katika ukumbi wa Manchester Arena.
Mlipuko huo umetokea usiku wa jana
wakati wa tamasha la muziki la mwanamuziki wa pop kutoka Marekani
Ariana Grande.
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May
ametoa pole kwa wafiwa na waliojeruhiwa na tukio hilo ambalo polisi
wanalichukulia kama shambulizi la kigaidi.
Watu waliokuwa kwenye tamasha wakijifunika na mifuko ya foili kujizuia na baridi
No comments:
Post a Comment