Monday, August 7, 2017

BWANA NELSON PALLANGYO NA BI. THERESIA BYAKWAGA WAFUNGA NDOA MJINI KARATU

 Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha ndoa Bw. Nelson Charles Pallangyo na Bi. Theresia Justine Byakwaga iliyofanyika Agosti 5, 2017 na baadae sherehe ikafanyika ukumbi wa Samawe Complex. PICHA ZOTE NA KAJUNASON/MMG - KARATU.
Bwana Harusi Nelson Charles Pallangyo  akimvalisha pete mkewe Bi. Theresia Justine Byakwaga wakati wakifunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini, Jimbo La Karatu, Usharika wa Karatu Mjini akiwafungisha nd Agosti 5, 2017. 

Bofya hapa kutazama zaidi

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake