Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba(wa kwanza kulia) akiongea na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa akitoa tamko kuhusu Taasisi za Umma zinazotumia mkaa na kuni kubadilishiwa matumizi na kutumia gesi jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake