Sunday, August 6, 2017

*TAARIFA YA KAMATI YA KUSIMAMIA KESI YA KAKA MAYOR*

Ndugu zetu Watanzania, tunatumai mko katika hali njema.

*Tulipofika Mpaka sasa:*

▪Tumefanikisha swala la Mwanasheria, Stephenie Lewis.
Amechukua malipo ya kuanzia ya *$5,000*ambayo yataingia  kwenye escrow account. 

▪Ametoa kadirio la gharama ya kesi kuwa kati ya *$20,000 na $30,000* na hii itategemea swala zima la  gharama za dhamana *(bond)*

▪Tumefungua akaunti ya benki, Bank of America sambamba na gofund me ili kurahisisha ukusanyaji wa michango.
Gofund, imekusanya *$16,566*mpaka tunaingia mitamboni. Na hii kabla hatujatoa ile *$5,000* ambayo tumekopeshwa.

▪Harambee rasmi itafanyika wiki ijayo, baada ya kujua gharama za dhamana(bond).
Lakini Jumaapili hii, wanakamati Watakuwepo kwenye kikao cha maandalizi ya DMV Labor day Party, Kukusanya Michango zaidi.

▪Aunty Baybe na dada Rebecca walimtembela kaka Meya, yuko salama.Anawashukuru kwa upendo mliomuonyesha, na anawasalimu.

▪Shughuli rasmi ya kufuatilia dhamana na kesi yote kwa ujumla itaanza Jumatatu.
Tutawapasha habari za yatakayojiri, siku zinavyokwenda.

▪Tunawaomba musisite kuhamasisha michango kwani ndio kwanza tuko nusu ya lengo.


Bank of America:
Acc # *446039288677*
Routing# 052-001-633
Ernest B. Kessy
Jasmine R. Bennett.


Kwa maelezo zaidi au maoni wasiliana na:

Ali Mohamed 3015009762
Baybe Mgaza 2022005031
Raju Tambwe 4433177440
Jasmine Rubama 4103719966
Mganga Muhombolage 2023740988
Iddi Sandaly 3016135165
Kessy Metro Tires 2024135933
Jabir Jongo 2406040574

Tunawashukuru sana.

Ahsanteni.

Wanakamati.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake