Jumuiya ya Watanzania waishio Marekani, DICOTA, inapenda kuwaalika Watanzania na marafaki wa Tanzania katika Jukwaa la mjadala wa Afya utakaofanyika Jumamosi Novemba 11, 2017, Greenbelt Maryland. Jukwaa hili limeletwa kwa udhamini mkubwa wa Shirika la Maendeleo. Nyote mnakaribishwa. Kwa maelezo zaidi sikiliza ujumbe ufuatao.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake