Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa Wataalamu wetu wanafanya matengenezo ya dharura katika Mfumo wa kupokea gesi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia cha Kinyerezi I.
Hivyo Kituo kitazimwa Saa 6:00 mchana hadi Saa 7:00 Mchana ili
kupisha matengenezo.
Baadhi ya maeneo mbalimbali ya nchi katika kipindi hicho yatakosa
umeme.
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
www.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
31/10/2017
No comments:
Post a Comment