Hapa ni Rehema siku ya birthday yake akiwa na mdhamini wa pendo lake na familia yao wakipata ukodak wa pamoja. Mbele yao ni meza yenye keki na vitamutamu vinginge.
Kwa Taswira zaidi ya kuona vivazi vilivyotia ng'aring'ari usiku huo jitiririshe hapa chini na utaona jinsi mkono wa Iska Jojo ulivyotenda khaki. http://www.iskajojostudios.com/CLIENTS-GALLERIES/Birthday/Rehemas-Birthday-Bash-30092017-Rockville-MD/n-XCR6hM/






No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake