Advertisements

Saturday, December 2, 2017

Sherehe za UHURU wa TANZANIA in Massachusetts


Watanzania wa majimbo ya New England wanawakaribisha katika shughuli ya 
kusheherekea Miaka 56 ya UHURU wa Tanzania.
Sherehe itafanyika Jumamosi Tarehe 9 December, kuanzia saa kumi na mbili jioni (6PM).

Karibuni kujumuika nasi tukisheherekea sikukuu ya uhuru wa Mtanzania.
Vyakula, vinywaji na burudani usiku kucha.

Mahali:
EASTWOOD CLUB
389 TOWNSEND ST, FITCHBURG, MA 01420

Karibuni Wote.

No comments: