Picha ya misa ya Jumapili ya kufungua Mwaka Mpya 2018 iliyoendeshwa na Baba Askofu wa Jimbo kuu la Baltimore Baba Askofu William Lori iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Edward Baltimore Maryland naKuhudhuriwa na Father Honest Munishi na wanajumuiya Wakatoliki wa DMV. Baada ya misa Baba Askofu aliudhuria Kifungua kinywa kilichoandaliwa na wana jumuiya Wakatoliki wa DMV katika ukumbi wa kanisa.
Kwa niaba ya Father Munishi, uongozi na wanajumuiya ni mimi M/kiti wajumuiya,
Patrick Kajale.
No comments:
Post a Comment