Mama mzazi wa Mrs Agnes Makalla |
mama akitunzwa madolari na wanae |
"shukrani sana kinamama wenzangu nawapenda" |
Mama akitoa neno la shukrani kwa kila aliyefika |
Mr and Mrs Makalla wakitoa neno la shukrani |
Furaha ilitawala kwa kila aliyekuwepo |
raha tuuuu |
makofi na shangwe nyngi kwa mama |
Kapuya na Da Lila wakimkusanyia mama madola yake |
Jordan nae alikuwepo kushuhudia sherehe ya bibi |
wakicheza kwa furaha |
Wakanda forever |
mama akiendelea kutunzwa |
Digna akimtunza mama |
vinywaji vikiendelea |
muziki ukikolea |
utaratibu ukiendelea |
house party na raha zake (igweeeeeee) |
wakinamama walosambaza upendo |
Kaka la kaka |
lovely family |
Kareokee time |
mapezni ya mama na mwana wakiimba |
Dj Mose akitoa neno kabla ya kuimba |
Makulusa ngo ngo ngo |
No comments:
Post a Comment