Tuesday, August 28, 2018

MBUNGE HAWA GHASIA AJIUZULU

MBUNGE wa Mtwara Vijijini (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jitu Soni wamejiuzulu nafasi hizo, leo Jumanne Agosti 28, 2018.

Ghasia na Soni ambaye pia ni Mbunge wa Babati Vijijini wametangaza uamuzi wao leo asubuhi mbele ya wajumbe wa kamati hiyo jijini Dodoma.

Bado haijafahamika sababu za viongozi hao kufanya uamuzi ho wa kujiuzulu

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake