Mkurugenzi wa Shule za Patrick Mission na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Iyela,Ndele Mwaselela akizungumza na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wapo kambi kwa ajili ya kujiandaa na Mitihani ya kidato cha nne mwaka hu ikiw ani mpango wa kutokomeza sifuri katika shule.
Mkurugenzi wa Shule za Patrick Mission na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Iyela,Ndele Mwaselela, akikabidhi Chakula kwa ajili ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne Sekondari ya Iyela ambapo mdau huyo wa Maendeleo alikabidhi gunia mbili za mchele.
No comments:
Post a Comment