Kwa majonzi makubwa tunasikitika kuwajulisha kuwa Joyce Salala amefiwa na Baba yake mzazi mzee Faustin Stantislaus Charles, leo 11/26/2018 huko nyumbani Tanzania.
Joyce anasafiri kesho Tuesday, 11/27/2018 kwenda nyumbani Tanzania
Joyce anapatikana kwa namba 914 482 2657 wale ambao watapenda kufariji na kumpa pole.
Tel: 914 482 2657
Address : 27 Claremont Ave,
Apt #3M
Mt Vernon, NY 10550
"Omba Mungu akuondolee hofu maana kila alifanyalo ni jema na kamilifu " RIP Mzee Chale.
Bandugu wale watakao shindwa kufika Leo kutoka na sababu zisizo zuilika 👇🏽here is the link kama utaguswa kila mtu kwa

No comments:
Post a Comment