Advertisements

Saturday, December 1, 2018

TANZANIA HOUSTON COMMUNITY 2018 THANKSGIVING GALA IN PICTURES

Tamasha la kila mwaka la THC Thanksgiving GALA lilifanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Chateau Crystale ulioko katika makutano ya barabara za Westheimer na Gessner katika jiji la Houston jimboni Texas. Pata picha za GALA hiyo ya nguvu kama zilivyochukuliwa na mpiga picha nguli kutoka jiji la Dallas, Brancovich Pictures.


Rais wa THC Bwana Lambert Tibaigana akiwa na Makamu wake Bwana Suleiman Kalinga

The THC Leadership
The THC Entertainment Committee


MC Mama Samiah
No comments: