Advertisements

Tuesday, April 16, 2019

MCHUNGAJI MBATTA ASIMIKWA AWA RASMI MCHUNGAJI WA KANISA LA KILUTHERI NCHINI MAREKANI.

Askofu Richard H. Graham wa kanisa la Kilutheri DMV akiongoza ibada ya kusimikwa ya mchungaji John Mbatta aliyofanyika siku ya Jumapili April 14, 2019 katika kanisa la Kilutheri lililopoRockville, Maryland.. Mchungaji Mbatta sasa amekua rasmi mchungaji kwa kanisa la kilutheri nchiniMarekani na anaweza kutoa huduma ya neno la Mungu popote pale Duniani.
 Askofu Richard Graham akiongoza ibada ya misa ya kusimikwa kwamchungaji Mbatta.
 Mchungaji John Mbatta (kulia) akisimikwa.
Mchungaji John Mbatta (kushoto) akiwa rasmi mchungaji wa kanisa la Kilutheri nchini Marekani.
Wakati wa sadaka.
 Mwinjilisti akikabidhi sadaka kwamchungaji Mbatta.
Waumini walikuja kutoka jumuiya mbalimbali hapa DMV na nje ya DMV wakishuhudia siku hii muhimu kwamchungaji John Mbatta kusimikwa na kua rasmi mchungaji wa kanisa la Kilutheri nchini Marekani.
Wakati wa kuingia kanisani
Kawa picha zaidi bofya soma zaidi

Picha ya pamoja
Picha ya pamoja

No comments: