Advertisements

Wednesday, July 15, 2020

DKT. NDUMBARO AMECHUKUA ACHUKUA FOMU YA KUTETEA KITI CHA UBUNGE SONGEA MJIN




Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo tarehe 15 Julai, 2020 amechukua fomu katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Songea Mjini ya Kuomba ridhaa ya CCM kiliwakilisha jimbo la Songea Mjini katika Bunge la Jamhuri yea Muungano wa Tanzania

No comments: