Advertisements

Monday, September 21, 2020

MKUTANO WA KAMPENI CCM LUPEMBE NJOMBE

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiinadi Ilani ya CCM 2020/25 kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Lupembe Wilaya Njombe katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Septemba 20,2020 katika Uwanja wa Ujenzi Kijiji cha Wanginyi Wilaya ya Njombe Mkoani Njombe.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Lupembe Njombe wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Ujenzi katika Kijiji cha Wanginyi Njombe Mkoani Njombe leo Septemba 20,2020.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: