Advertisements

Monday, October 19, 2020

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa eneo la Mwenge jijini Dar es salaam akiwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa mikutano yake ya kampeni leo Jumatatu Oktoba 19,2020.
Picha mbalimbali zikionesha Baadhi ya wananchi wa eneo la mwenge jijini Dar es salaam wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli.
 

No comments: