Monday, August 30, 2021

BIRTHDAY BASH YA HENRY NA GRACE LANHAM, MARYLAND

Henry na Grace wakiajiandaa kukata keki siku ya Jumamosi Aug 28, 2021 wote kwa pamoja waliposherehekea siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwao iliyofanyika Lanham, Maryland nchini Marekani.
Henry na Grace wakitosi vinibu katika kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao  siku ya Jumamosi Aug 28, 2021  iliyofanyika Lanham, Maryland nchini Marekani.
Henry na Grace wakiwa kwa pamoja katika kusherehekea siku zao za kuzaliwa.
Kutoka kushoto ni mama, Henry naCleo
Viongozi wa sasa na wa zamani wakiwa na mafirst ladies wa sasa na wazamani bila kumsahau Rais wa DMV (kulia) Bwn. Pius Mutalemwa, wakiwa katika picha ya pamoja na Henry na Grace.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Juu na chini picha za viongozi wa zamani DMV wakipata picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Pius Mutalemwa (wa kwanza kushoto) pamoja na first lady ( wa pili toka kushoto)
Kutoka kushoto ni Rais wa DMV Bwn. Pius Mutalemwa, irst lady wa sasa Juster Mutalemwa,. Lysa Bantu, mhazini mstaafu, Dj Luka, Rais mstaafu, katibu mstaafu, Cleopatra Kulasi,  Gloria Alex, aliyekua first kady DMV na Charles Kaiza.

Kutoka kushoto ni first lady wa sasa Juster Mutalemwa, Dj Luka (Rais mstaafu DMV), Gloria Alex aliyekua first lady (DMV) na Pius Mutalemwa Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV.
Kutoka kushoto ni Lysa Bantu, mhazini mstaafu, Juster Mutalemwa, Dj Luka, Rais mstaafu, Gloria Alex, aliyekua first kady DMV, Katibu mstaafu, Cleopatra Kulasi na Rais wa DMV Bwn. Pius Mutalemwa.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake