Thursday, August 19, 2021

KAMISHNA CP LIBERATUS SABAS AONGOZA MAFUNZO YA UTENDAJI KAZI KWA MA – OPERESHENI OFISA WA MIKOA YOTE TANZANIA WALIOKUTANA MKOANI TANGA KWA SIKU 3.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Nchini CP Liberatus Sabas akifungua Mafunzo ya ulengaji wa shabaha kwa Maafisa Operesheni (hawapo pichani) tukoka Mikoa yote Tanzania katika uwanja wa Medani za kivita Mkomanzi uliopo mkoani Tanga. (Picha na Jeshi la Polisi)
Baadhi ya Maafisa Operesheni wa Jeshi la Polisi kutoka mikoa mbalimbali wakionekana wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji wa shabaha unaoongonzwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Nchini CP Liberatus Sabas katika uwanja wa Medani za kivita Mkomanzi uliopo mkoani Tanga. (Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Nchini CP Liberatus Sabas katikati, kulia kwake ni Anthony Sarota kutoka shirika ambalo si la kiserikali la Mercy Corps Tanzania ambao ndiyo wafadhili wa mafunzo yanayofanyika kwa siku tatu (3) mkoani Tanga wakiwa katika picha ya Pamoja na Maafisa Operesheni Nchini, katika ukumbi wa Tanga Beach Resort. (Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake