Tuesday, August 24, 2021

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA NA RAIS UHURU KENYATA WA KENYA JIJINI LUSAKA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya walipokutana kwenye Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake