NY Ebra akitoa sadaka ya chakula kwa watoto yatima Arusha kituo hicho kinachojulikana kwa jina la Ebenezer Children Center. Kituo hiki kinapatika Arusha Maji ya Chai wilayani Arumeru, Ny Ebra amekuwa akitoa sadaka katika kituo hiki kwa miaka kumi sasa na kujijengea mazingira ya kujisikia ni mmoja wa familia. Na wewe kama unachochote cha kuchangia unaweza kuwasiliana na Ny Ebra au Bi Julieth Kivuyo.
#Kutoa ni roho sio utajili#
Ny Ebra akipata ukodaki na watoto nje ya basi lao la shule wakawa na vinywaji baridi mkononi
Kila Mtoto anaitaji furaha na upendo bila kujari mazingira anayoishi kwa wakati huo,
Ny Ebra akibadirishana mawazo na mmiliki wa kituo Bi Julieth Kivuyo . |
Bibi Mwenye umri wa miaka 127 akipata ukodaki na Ebra, siri ya urembo ya bibi huyu kufikisha umri huo anasema hali nyama ya kuku, ng'ombe na mayai. Wewe kula kula minyama upunguze umri merfu.
No comments:
Post a Comment