Daniel Muro akichoma ndafu kwa ajili ya harusi ya David na Leah i;iyofanyika Atlanta, jimbo la Georgia nchini Marekani, haya yalikua maandalizi kabla ya sherehe yenye ya harusi Jumamosi Aug 21, 2021.
Daniel Muro akimuonyesha ndafu mpambaji wa sherehe za harusi maarufu kwenye jiji la tashtiti la Atlanta, Georgia Bi .Christabela Gumbo na kampuni kampuni yake ya Bright Beauty Event Decor
Kushoto ni Clara KLarabani akimuelekeza jambo Bi .Christabela Gumbo Jumamosi ya Aug 21, 2021 wakati wa Bright Beauty Event Decor wakiweka sehemu ya kuchezea ukumbi huo mapama kabla ya sherehe ya harusi ya David na Leah kufanyika
Christabela Gumbo akishirikiana na Clara Karabani kuweka sehemu ya kuchezea katika ukumbi huo ilikofanyikia sherehe ya harusi ya David na Leah.
Sehemu ya kuchezea ikiendelea kutengenezwa.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake